Brazil ni nchi kubwa zaidi katika
Latin Amerika na ni ya sita uchumi kubwa wa Ulimwengu. Lakini inashika mahali
themanini na nne wa dunia katika kukuza mwanadamu. Brazil inamilika Majimbo 26 na Wilaya ya Shirikisho moja. Majimbo yamesambazwa katika mikoa mi tano:
Kaskazini, Kaskazini-Mashariki, Mashariki, Kusini na Magharibi-Yakati. Nchi hiyo ina msitu mkubwa na mto
mkubwa katika Ulimwengu. Mwaka wa elfu mbili kumi na tatu idadi ya wakazi wa
Brazil ilikuwa watu 200,674,130. Kutoka kiasi hicho, Watu Weusi walikuwa 106,000,000,
weupe walikuwa 91,000,000, Watu Asia walikuwa milioni 2 na Wahindi walikuwa
896,900.
Kuhusu dini, Brazil ina karibu sana
dini zote za ulimwengu. Lakini watu wengi ni wakristu (90%): Wakatoliki ni 73% na
Waprotestanti ni 17%. Wabrazil wanapenda sana sikukuu. Sikukuu zaidi maarufu ni
Kanivali za mchezo wa mpira. Ingawa wanapenda mchezo wa mpira, mchezo wa mfano
hasa ni “Capoeira”. Sahani ya taifa ya
Brazil ni “Feijoada”, kwamba inafanywa kwa maharage na nyama ya nguruwe. Kuhusu
siasa, Brazil inatawalwa na mwanamke anaitwa Dilma Rousseff ambaye amefanya
kazi kizuri. Katika jamii, Nchi yangu ina matatizo mengi: usawa wa vijamii, ukatili
wa kijana, trafiki ya madawa ya kuleya, asili janga, nk. Lakini ninaipenda Nch hiyo.
Fr.
Ndega
Mapitio:
Mwalimu Patrick
Nenhum comentário:
Postar um comentário