sexta-feira, 20 de junho de 2014

ISHARA NDOGO AMBAZO ZINALETA UTOFAUTI



          Yule ambaye anaamua kusaidia wasiojiweza anafanya jambo la busara na hulingeuza kuwa ishara bora, “kama baba anavyojali tabiri ya uwekevu kwa wanawe wote.” O jinsi gani nzuri na ya kujaza kama ujuzi wa kutumia uwezo wako kwa ajili ya wenzetu, kwa ajili ya uzuri Fulani! Kwa ukweli huu kuna ufunguo wa “ufunuo upya,” Yatuelekeza kwa ujuzi wa bibilia ambapo Yesu,kwa kujitolea hakika, kutumia ishara ya unyenyekevu na huruma kuonyesha upendo wa Mungu. Ishara hizi za Yesu zilileta utofauti kwa maisha ya watu wengi. Kabla ya swali “Huyu Yesu ni nani?” Jibu lilipeanwa bora tu watu wangeamua kumsikia, kukubali neno lake na kujihusisha na mipango ambazo alitangaza kupita vitende vya usaidizi. Wale walioishi ukingoni mwa kizito na waliokua na utofauti. Haikuchukua muda mrefu kujua ya kwamba yesu alikua ufunuo wa wokovu na mpango wa Mungu duniani kote. Na kwa hayo yote, jinsi inavyojulikana, “Yesu hakuja kuleta dini bali habari njema kwa wale wanaohitaji, ukarimu na fedha zake. Kutoka kwa habari njema tunaelewa Mungu ni nani”, Ni kutokana na ishara ndiposa tunajua jinsi mtu alivyo.
          Tunakaribisha kufanya uchunguzi wa Mungu anayetuandama na kutembea nasi na yuko nasi kila ya masumbuko, Kungojea jibu lipya la kukubaliwa na umoja. Makubaliano ya uwepo wake na umoja na wenzetu. Mungu tunayemuamini ni mkarimu na anaokoa; kwa hiyo sababu ya tumaini letu kwa uaminifu wake. Bibilia inafunza kuwa aliacha ateswe kwa ajili ya dhambi za watu, haswa kama wameteseka. Mungu anatupenda wote lakini tunaeza sema anastahabu; Tunathubutu kusema kuwa kuna majina kama; Kipofu,kiwete, pooza, kiziwi na n.k. Siku zetu, kulikuwa na nyuso mpya: Ni waathiriwa wa njaa na umaskini, Waliobaki mwisho katika bepari ya mfumo kutokuana ujuzi wa kompyuta duniani, Waathirika wa kila aina ya vita na madawa za kulevya, Wale wasio na kwa kuishi, wasio na kazi na kutoesabika na nyuso zilizoharibiwa duniani. Kwa watu hawa kuna upendo mkuu kutoka kwa mungu: kuhusu haya mwanateolojia L.C Susin anatumia uhalisi “upendo kwa kipaumbele”: kupenda kwa kipaumbele ni kitendo ambacho kila mama hufanya kutokana na msemo wa  zama wa Arabu: Heri mjonjwa mpaka atakapokuwa mzima, Heri hule ambaye ako mbali mpaka atakapofika, Heri mdogo mpaka atakapokua(...)”.
          Ujumbe wa Yesu ulihusika kutengeneza uhusiano baina ya Mungu na wanadamu waliokuwa maskini wakati wa Yesu wangerudi kujitolea kabisa kwa uzuri wa jamii. Wakati mwingine ilikuwa muhimu jamii kujitolea mhanga kuwafanya watu waje kwa Yesu na kushuhudia maisha mapya ambayo yaliletwa na Yesu. Siku hizi Yesu haonekani lakini tunaeza mhisi na kumjua haswa wale ambao wameamua kuacha watazamaji na wakawa  wongozi kwa matendo. Kwa minajili ya maisha. Changamoto kwetu sio kwa kufaulu kwa vitu ambavyo sio vya kawaida bali kwa matendo madongo yanayoleta tofauti. Kutokana na mfano wa Yesu tunaitwa kufanya vitu vyote vyema na kufanya mazuri kwa minajili ya wanaohitaji usaidizi zaidi na kuishi katikati ya anisi. Uthibitisho huu,unakamilisha unabii wa ufalme wa Mungu: Dunia bila utengano, kutamani kwa Mungu na matakwa kwa wote.

Fr. Ndega
Translation: Benadert Oda