domingo, 27 de agosto de 2017

TUMEJENGWA JUU YA MSINGI WA MITUME


Tafakari kutoka Is 22, 19-23; Rom 11,33-36; Mt 16, 13-20



       Kama Wakristo, tumejengwa juu ya msingi wa mitume, yaani imani yetu ilianza kwa kukiri kwa imani ya mitume. Ingawa sisi tu tofauti, utambulisho wetu ni kuwa wamoja. Ndio ubatizo wetu umetuunganisha na Kristo kwa ajili ya kujenga mwili mmoja na kuishi kwa uaminifu Agano ambalo Mungu alifanya nasi tulio watu wake.

     Katika somo la kwanza, kwa sababu ya kosa la uaminifu wa Shebna, Mungu atamchagua Eliakimu na kumpa mamlaka ya kuwatawala watu wake. Kulingana na mpango wa Mungu kwa watu wake, kiongozi huyo atakuwa  kama baba aliye na ufunguo wa mti kwa ajili ya kuwatunza watu na kuzaa hali ya utulivu na kuamini. Kupitia watumishi wema na wanyenyekevu Mungu anaendelea kuwaongoza na kuwatunza watu wake. Kulingana na somo la pili, Mungu anafanya mema yale anayofanya kwa sababu anatenda kwa hekima na upendo. Kwa upande wetu, ni lazima kufungua moyo kwa kupokea msukumo wake ili tutende kama yeye alivyo.  

        Yesu alikuwa anatembea pamoja na wanafunzi wake na walipofika eneo la Kaisarea Filipi yeye aliwauliza maswali kuhusu utambulisho wake kulingana na mtazamo wa watu. Hii ilikuwa nafasi nzuri ya kuwafundisha vizuri kuhusu utambulisho wake wa Masiha wa Mungu. Jibu la kwanza linadhihirisha kwamba watu hawakuwa na wazo kamili kuhusu Yesu na walifikiri kwamba ilitosha kumlinganisha na manabii wa zamani. Kwa maneno mengine walikuwako mbali na matarajio ya Yesu. “Kumwita Yesu nabii ni nusu tu ya ukweli wote. Manabii huandaa njia kwa ajili ya mtu mwingine. Lakini Yesu pekee ndiye ambaye njia yake iliandaliwa na manabii wengine wote.” Ingawa kwa watu mawazo kuhusu Yesu hayakuwa wazi, kwa mitume yapaswa kuwa tofauti, maana kwa Yesu si muhimu yale ambayo watu wanafikiri, bali kukiri kwa wafuasi wake.

      Kwa hivyo, Yeye aliwauliza akisema, “Na ninyi, Je, mnasema mimi ni nani?” Jibu la Petro alidhihirisha yale ambayo wanafunzi wengine kumi na mmoja walijua pia: Yesu ni Masiya wa Mungu. Lakini hawawezi kutangaza habari hii kwa sababu ya kutokuwa na maana kamili. Mawazo yao kuhusu Masiya yalifuata matarajio ya Wayahudi wengine, yaani, Masiya wa kisiasa atakayetumia nguvu zake za kimungu ili kuwakomboa Wayahudi toka ukoloni wa Warumi. Bila shaka kwamba Yesu aliyakanusha mawazo hayo akionyesha njia tofauti ya kutimiza ujumbe wake wa Masiya. Masihi ambayo Yesu alichagua ni ile ya mtumishi wa Bwana aliye makini kwa sauti ya Mungu na kufanya mapenzi yake kwa njia ya mateso, kufa na kufufuka.

      Ingawa jibu la Petro lilikosa maana kamili, Yesu aliutambua ufunguzi wa Petro kwa msukumo wa Mungu. Msukumo huu ulimsaidia Yesu ili kumpa Petro nafasi ya uongozi kati ya mitume. “Yeye ni sawa na wenzake lakini ana tofauti fulani. Kukutana na Kristo kumbadilisha Petro sana mpaka anapewa kazi hii maalumu. Hasemi kwamba yeye ni tofauti na wenzake. Tena atamkana Yesu (Mt 26:33) lakini anatubu (Mt 26:69-75) na anarudishwa tena kwa kazi yake hiyo (Yoh 21:1-19).” Hivyo, Petro alipokea kazi hii sio kwa sababu alistahili, bali kwa imani yake thabiti na imara ndiyo mwamba. Imani ya Petro na ya mitume wengine ni maonyesho ya uamuzi wa kuyatoa maisha yao kwa ajili ya Kristo. Imani hii ndiyo msingi wa imani yetu kama Wakristo.


    Jukumu la Petro na mitume wengine limerithiwa na Baba Mtakatifu Francisco na maaskofu wote. Kama Yesu alitambua mkono wa Baba na tendo la Roho Mtakatifu katika Petro, tena anatambua tendo hili katika waandamizi wao wote na kuandamana nao ili kazi yao ionyeshe utunzaji na upendo wa Mungu kwa watu wake. Ingawa wana jukumu la kuliongoza kundi la Yesu, wanashiriki pamoja nasi katika kundi moja. Imani yao thabiti na imara inathibitisha imani yetu na kutuhakikishia umoja yetu katika Kristo. Kwa upande wetu ni lazima usikivu na ushirika na wachungaji wetu kwa ajili ya manufaa ya Kanisa zima. Utume wa upendo na wa unyenyekevu wa wachungaji pamoja na utiifu wa wana kondoo uwe daima maonyesho ya Kanisa la kweli la Kristo.

Fr Ndega

domingo, 20 de agosto de 2017

IMANI YA WENGINE NDIYO KUBWA


Kutafakari kuhusu Is 56, 1.6-7; Rom 11,13-15.29-32; Mt 15, 21-28


       Mungu anataka kuongoza njia ya mataifa kwa “nyumba” yake, yaani kwake mwenyewe. Yeye anawapenda wote na kutaka kuokoa wote. Yeye sio Mungu wa Israeli peke yake na hata Watu hawa walichaguliwa sio kwao wenyewe bali ili wawe chombo cha wokovu Mungu aliopanga kwa wote. Wokovu ni zawadi ya Mungu na hakuna mtu hata mmoja anayestahili zawadi hii. Mungu mwenyewe anawavutia watu kwake kwa sababu ya wema wake, lakini kipimo cha jibu kamili kwa mwaliko wake ni upendo na haki. Ndiye Mungu huyo ambaye Mt. Paulo anatangaza kama Mungu wa huruma kwa wote. Kupitia kazi hasa ya mtume huyo wale waliofikiriwa wa nge wa huruma hii wana nafasi ya kuionja vizuri. Ndio watu hawa ambao watawasaidia wale waliochaguliwa kwanza.

      Mathayo anasema kwamba Yesu alienda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Zote hizi mbili ni wilaya ya Ugiriki, yaani ndiyo maeneo ya wasio Wayahudi. Yesu aliruhusu kuongozwa ili kukutana na watu wa nge wa Israeli. Mama mmoja alimjia Yeye na kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, nionee huruma! Binti yangu anasumbuliwa na pepo.” Mama huyo anaongea na Yesu kuhusu jambo la thamani kubwa mno maishani mwake, yaani, binti yake. Lakini mama huyo hapashi habari tu kuhusu binti yake, bali alimtambua Yesu kama Mwana wa Daudi na Bwana. Huyo mama Asiye Myahudi, hata anaweza kufundisha ‘watu’ wa Yesu mwenyewe jinsi ya kumkaribisha vizuri na kumwamini yeye. Basi, Yesu alifanya muujiza sio kwa sababu ya mahitaji ya mama huyo tu, bali hasa kwa sababu ya imani yake kubwa. Kama hitimisho tuko na ushindi wa imani.

      Majibu ya Yesu yalikuwa maneno magumu na mazito, yaani, “sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo”; na jimbo lingine, yaani “si vizuri kuchukua  chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Kweli ni ngumu kukubali na kufahamu kwamba maneno haya yatoke midomoni mwa Yesu kwa sababu tunajua kuhusu hisia zake mbele ya hali ya walio na mahitaji. Tunapaswa kufahamu kwamba andiko hili linatafsiri mtazamo wa Wayahudi kuhusu wokovu kama upendeleo wa baadhi ya watu. Hasa kati ya Wayahudi sio wote waliostahili kuokolewa. Yesu ndiye Myahudi lakini alitenda tofauti akikubali mwendo wa ‘kujifunza’ kuhusu lengo la kazi yake. Yeye aliruhusu kuongozwa na Roho kwenye Tiro na Sidoni na kila mkutano na watu ilikuwa nafasi ya kujifunza.

      Hasa kuhusu wanawake, Injili zote zinaongea juu ya uhusiano wa Yesu nao kama urafiki maalum. Hao waliandamana naye kutoka mwanzo mpaka mwisho wa maisha yake katika hali ya kibinadamu. Tukumbuke kwamba ndiye mwanamke mmoja (mamaye) aliyemwimarisha kuanza ufunuo wa Saa yake. Katika kifungu cha leo ndiye mwanamke mmoja (mgeni) aliyemwimarisha kuanza ufunuo wa utambulisho wake zaidi ya mipaka ya Israeli. Ndiye mwanamke mmoja (Magdalena) aliyekuwa wa kwanza wa kupokea habari ya maisha mapya ya ufufuko wake na jukumu la kuitangaza kwa wengine. Mtazamo wake na ishara zake za upendo kwenye wanawake zinawaimarisha kushinda hali ya dharau na ubaguzi katika jamii. Uhusiano wake nao unawahakikishia maisha mapya.


     Hali hii inadhihirisha kwamba Yesu sio mali ya Wayahudi. Kazi yake ni kwa wote kwa sababu alikuja kutimiza mapenzi ya Mungu anayetaka kuwaokoa watoto wake wote. Ingawa tunafikiria kwamba “tumeokolewa” na kufikiri kwamba maisha yetu yanampendeza Mungu, tunapaswa kuwa macho kwa sababu labda Mungu hana nafasi bado katika maamuzi yetu ya kila siku. Yesu anatufundisha njia ya kukutana na wengine na hata kushangazwa kuona imani yao kubwa. Kila wakati tunaalikwa kutambua kwamba imani haina mipaka na tena wakati tunakutana na wale wanao imani tofauti na yetu sisi tuko na nafasi ya kujifunza zaidi na kuimarishwa katika imani yetu. Mwendo huu unawezekana kwa sababu ni sehemu ya utambulisho wetu kama Wakristo kujifunza na kukua pamoja na wengine. Hatuwezi kusahau kwamba hata mwanamke wa injili ya leo anatufundisha sana hasa jinsi ya kuongea na Mungu. Kulingana na mfano wa mama huyo, ukubwa wa imani ya mtu unaonyeshwa na tabia ya uvumilivu na unyenyekevu kwa kuwaombea wengine kuliko yeye mwenyewe na kuwa na uhakika kuhusu msaada wa Mungu. Tunataka kumwomba imani hii. 

Fr Ndega

GRANDE È LA FEDE DEGLI ALTRI!


Riflessione sul Is 56, 1.6-7; Rom 11,13-15.29-32; Mt 15, 21-28


         Dio vuole condurre il cammino dei popoli alla sua casa, cioè a se stesso. Egli ama tutti e vuole salvare tutti. Egli non è solo il Dio di Israele, il quale è stato scelto non per se stesso ma per essere strumento della salvezza che Dio ha preparato per tutti. La salvezza è dono di Dio e nessuno la merita. Dio stesso attira la gente a sé per la Sua propria bontà, ma il criterio della risposta giusta al Suo invito è l’amore e la giustizia. È questo Dio che San Paolo annuncia, vale a dire, il Dio che agisce con misericordia verso tutti. Attraverso la missione di questo apostolo, coloro che erano considerati fuori da questa misericordia hanno avuto l’opportunità di sperimentarla.

       Matteo racconta che Gesù è andato verso la zona di Tiro e Sidone. Entrambi questi sono territori stranieri, cioè territori non ebraici. Gesù si lascia portare per essere trovato per un popolo diverso dal popolo di Israele. Una madre è venuta da Lui gridando: “Signore, figlio di Davide, abbi pietà di me! Mia figlia è tormentata dai demoni”. La madre parla a Gesù di qualcosa di grande valore nella sua vita, sua figlia. Ma lei non solo dà una informazione riguardo sua figlia, ma riconosce Gesù come il Figlio di Davide e Signore. Questa donna straniera può anche insegnare ai propri “compaesani” di Gesù come accoglierlo e fidarsi di lui. Così Gesù ha compiuto un miracolo non solo per la necessità della donna, ma soprattutto per la sua grande fede. Come conclusione abbiamo la vittoria della fede.

        La risposta di Gesù è stata un po’ dura al primo momento, cioè ha detto di “non essere stato inviato se non alle pecore perdute di Israele”; E ancora, “non è bene prendere il cibo dei figli e gettarlo ai cani”. È difficile accettare e capire che queste parole vengono dalle labbra di Gesù perché sappiamo i suoi sentimenti di fronte a chi ha bisogno. Ma dobbiamo capire che questo testo traduce anche la visione ebraica della salvezza come privilegio di alcun popolo. Anche tra gli ebrei non tutti sono meritevoli di essere salvati. Gesù è un ebreo, ma ha agito diversamente accettando il processo di “apprendimento” sullo scopo del suo lavoro. Egli si è lasciato guidare dallo Spirito ad andare a Tiro e Sidone e ogni incontro con la gente è stato una opportunità per imparare.

       Soprattutto alcune donne hanno contribuito molto in questo processo. Tutti i Vangeli parlano del rapporto di Gesù con loro come un rapporto speciale. Lo hanno accompagnato dall’inizio alla fine della sua vita mentre egli era con noi. Ricordiamo che una donna (sua madre) lo aveva motivato per iniziare la rivelazione della sua Ora. Qui è una donna (straniera) che lo motiva a rivelare la sua identità al di là dei confini d’Israele. È stata una donna (Maddalena) la prima persona a ricevere la notizia sulla vita nuova della sua resurrezione e la responsabilità di annunciarla agli altri. Il suo atteggiamento e i suoi gesti teneri verso le donne le ha motivate a superare la situazione di disprezzo e discriminazione nella società. Il suo rapporto con loro garantisce loro una nuova vita.

        Gli Ebrei son l’origine umana di Gesù ma Egli non è proprietà ebraica. La sua missione è per tutti perché è venuto a compiere la volontà di Dio che vuole salvare tutti. Anche se pensiamo che siamo già “salvi” e pensiamo che la nostra vita è piacevole a Dio, dobbiamo stare attenti perché forse Dio non ha trovato ancora spazio nelle nostre decisioni quotidiane. Gesù ci insegna come andare incontro agli altri e persino meravigliarsi a causa della loro grande fede. Dobbiamo ammettere che la fede non ha frontiera e che quando ci troviamo con coloro che professano una fede diversa da noi, abbiamo l’opportunità di imparare di più e di essere motivati nella nostra fede. Questo processo è possibile perché fa parte della nostra identità cristiana imparare e crescere con gli altri.  Non possiamo dimenticare anche che la donna di questo vangelo ci insegna molto come dialogare con Dio. Secondo il suo esempio di madre, la grandezza della fede di una persona è dimostrata tramite gli atteggiamenti di pazienza e umiltà, chiedendo più per gli altri che per se stesso nella certezza dell’aiuto di Dio. Questa è la grazia che vogliamo chiedere e di cui abbiamo bisogno sempre.

Fr Ndega
Revisione dell'italiano: Giusi

domingo, 13 de agosto de 2017

LA CONFIANZA EN LA AYUDA DIVINA SOSTIENE Y HACE CAMINAR


Reflexión a partir de 1Reyes 19, 9-13 y Mt. 14, 22-33


Estas lecturas nos invitan a abandonar algunas ideas y expectativas, principalmente cuando se trata de la manera que tiene Dios de revelarse. Tendemos mucho a querer “crear” un dios que sea a nuestra imagen y semejanza, debido a la dificultad en conformar nuestra vida a la manera de ser y actuar, del verdadero Dios. El trecho del libro de los reyes nos hace encontrar la dirección correcta, al presentar la bellísima experiencia del mayor profeta del Antiguo Testamento. Aunque la perspectiva de Elías fuese que Dios se revelase en el viento, en la tempestad o en el terremoto, o sea, en fenómenos extraordinarios y grandiosos. Dios contraría todo eso y se revela en la brisa suave, como “en la intimidad de una relación”.

Elías está huyendo de una situación violenta que él mismo había causado al proponer el desafío sobre el verdadero Dios a ser seguido, y manda a matar a los profetas de Baal. La reina Jesabel lo persigue, queriendo matarlo. Estando en el monte Horeb, frustrado y desilusionado, Dios viene a su encuentro de una manera simple y concreta, diferente de lo que él había hecho que los otros piensen. Esta situación nos desafía a cultivar momentos de serenidad, de silencio y de escucha para dejar que Dios se haga descubrir a su manera y no como lo entendemos.

Muy diferente es la situación presentada en el evangelio, donde es en medio de la tempestad y del viento que Dios se manifiesta, porque quiere estar presente junto a las víctimas de esos fenómenos. Descubramos, en un primer momento, que Jesús invita a pasar para la otra orilla, mientras él despide a la multitud. Para ser un verdadero discípulo de Jesús es necesario cambiar de orilla, dejar las seguridades, las estructuras, ciertas mentalidades y lanzarse en una aventura, la aventura de la fe. Cambiar de orilla tiene mucho que ver con desinstalación, con conversión y ahí va a darse la ruptura, una de las marcas registradas del seguimiento de Jesús. Si fuese para dejar todo de la misma manera, no habría necesidad de Jesús ni de su mensaje. Encontrarse con Cristo es una experiencia que provoca decisión.

Jesús da un gran testimonio respecto de la vida de oración. Revela que la relación con Dios debe ser íntima, profunda y constante. Esta actitud la encontraremos durante todo el Evangelio: de momento estaba con el pueblo, otro con el Padre. Jesús logra realizar la más perfecta síntesis entre ser todo para el pueblo y ser todo de Dios.

Sus discípulos enfrentan la noche, amenazados por las ondas y por los vientos en contra. Ellos están preocupados, con miedo y angustiados. La noche siempre está ligada a este tipo de sensación. La confusión es tan grande que hasta les impide reconocer a aquel que viene al encuentro de ellos, pues no abandona a quien lo sigue. La dificultad de reconocer a Jesús puede estar ligada a la resistencia en romper con ciertas mentalidades en las cuales todavía están apegados. Jesús siempre viene al encuentro porque es un Dios peregrino. Nos pone a prueba para testear nuestra fe y llevarnos a su seguimiento con mayor convicción.

Muchas veces damos más atención a aquello que nos causa miedo y estupor que a la certeza de que Jesús siempre está con nosotros. No reconocerlo quiere decir que no lo amamos verdaderamente, pues “solamente se ama a quien se conoce”. Donde hay amor no hay miedo, pues el amor deja afuera todos los miedos e inseguridades. El amor nos abre a la fe. Cuando nos falta una verdadera intimidad con Dios, fácilmente nos asustamos con su manera de intervenir en nuestra vida. Él será siempre un extraño y jamás descubriremos su verdadera intención respecto de nosotros. ¿Será un fantasma? Pero Jesús enseguida gritó: soy yo, no tengan miedo.


El miedo hace hundir. La confianza en la ayuda divina sustenta y hace caminar. En el ejercicio de la misión no puedo contar solamente con mis fuerzas y buena voluntad. Necesitamos convencernos de que es la gracia de Dios y la plena confianza en su providencia que pueden sostenernos en el caminar. Que la lección de la barca nos lleve a asumir con coraje la misión que se nos ha confiado, dejando que Jesús sea parte de la barca de nuestra vida, para vencer todos los miedos y adversidades. Nuestro testimonio debe llevar a las personas a creer que Dios no abandona a quien en él confía.

Fr Ndega
Traduccion para el espanhol: Nomade de Dios 

sábado, 12 de agosto de 2017

LA FIDUCIA NELL’AIUTO DI DIO CI SOSTIENE E CI FA CAMMINARE


Riflessione su 1Re 19,9-13; Mt 14: 22-33


       Queste letture ci invitano ad abbandonare alcune idee e aspettative, soprattutto quando si tratta del modo di rivelarsi di Dio. Abbiamo la tendenze a voler “creare” un dio che sia a nostra immagine e somiglianza, a causa della difficoltà nel conformare la nostra vita al modo di essere e di agire del vero Dio. Il brano dal libro dei Re ci fa trovare la giusta direzione presentando la bella esperienza del più grande profeta del Vecchio Testamento. Mentre la prospettiva di Elia era che Dio si rivelasse nel vento, nella tempesta, nel terremoto, cioè, in fenomeni straordinari, Dio va contro tutto questo e si rivela nella brezza leggera, come “nell'intimità di una relazione”.

       Elia è in fuga da una situazione di violenza che egli stesso aveva fatto di proporre la sfida del vero Dio da seguire e poi manda a uccidere i profeti di Baal. La regina Gezabele perseguitandolo voleva ucciderlo, ma mentre Elia era al Monte Oreb, frustrato e deluso, Dio gli viene incontro in un modo semplice e discreto, ben diverso da quello che Elia aveva pensato. Questo ci sfida a coltivare momenti di serenità, di silenzio, di ascolto per lasciare che Dio si manifesti secondo il suo volere e non come pare a noi.

         Ben diversa è la situazione presentata nel Vangelo, in cui in mezzo a tempeste e venti Dio si manifesta, perché vuole essere vicino a coloro che sono vittime di questi fenomeni.  Percepiamo, in un primo momento che Gesù invita i suoi ad andare verso l’altra riva del lago, mentre lui congeda le folle. Per essere un vero discepolo di Gesù abbiamo bisogno di cambiare il margine, lasciando le strutture, le false sicurezze, alcune mentalità e lanciarci in un’avventura, l'avventura della fede. Cambiare riva ha molto a che fare con la disinstallazione, con la conversione e proprio qui accade la rottura, uno dei segni concreti della sequela di Gesù. Non si può seguire Gesù e rimanere allo stesso modo di prima. Se si dovesse rimanere allo stesso modo, non ci sarebbe alcun bisogno di Gesù e del suo messaggio. Incontrare Cristo è un’esperienza che provoca decisione.

        Gesù dà una grande testimonianza della vita di preghiera. Egli rivela che il rapporto con Dio deve essere intimo, profondo e costante. Questo atteggiamento lo troviamo in tutto il Vangelo: sempre egli era con il popolo e sempre con il Padre. Su Gesù si può dire che ha compiuto la sintesi più perfetta tra l’essere tutto per le persone e l’essere tutto di Dio.

       I suoi discepoli affrontarono la notte, minacciati dalle onde e dai venti. Preoccupati, provano paura e angoscia. La notte è sempre legata a questo tipo di sensazione. La confusione è così grande che impedisce loro di riconoscere colui che viene loro incontro e che non abbandona coloro che lo seguono. La difficoltà di riconoscere Gesù può anche essere collegata alla resistenza a rompere con certe mentalità a cui sono ancora attaccati. Gesù viene sempre a noi, perché egli è un Dio pellegrino. Egli ci mette alla prova per testare la nostra fede e portarci a seguirlo con maggiore convinzione.

        Spesso diamo più importanza a ciò che ci fa paura e terrore che alla certezza che Gesù è sempre con noi. Se non lo riconosco significa che io non lo amo veramente, perché “solo si ama chi si conosce”. Dove c’è amore non c’è timore, perché l’amore getta via ogni paura, ogni incertezza. L’amore ci apre alla fede. Quando ci manca una vera intimità con Dio, facilmente ci spaventiamo per il suo modo di intervenire nella nostra vita. Egli sarà sempre un estraneo e mai possiamo capire la sua vera intenzione su di noi. Egli è un fantasma! Ma Gesù subito gridò: “Sono io, non abbiate paura!”

        La paura ci fa affondare. La fiducia nell'aiuto di Dio ci sostiene e ci fa camminare. Nello svolgimento della missione non posso confidare solo nelle mie forze e buona volontà. Dobbiamo convincerci che è la grazia di Dio e la piena fiducia nella sua provvidenza che possono sostenerci nel cammino. La lezione della barca ci porta ad assumere con coraggio la missione affidata a noi, lasciando che Gesù sia parte della barca della nostra vita affinché possiamo superare tutte le paure e le avversità. Che la nostra testimonianza porti a credere che Dio non abbandona coloro che confidano in lui.

Fr Ndega
Revisione dell'italiano: Giusi



A CONFIANÇA NA AJUDA DIVINA SUSTENTA E FAZ CAMINHAR


Reflexão a partir de 1Rs 19,9-13 e Mt 14, 22-33


      Estas leituras nos convidam a abandonar algumas ideias e expectativas, principalmente quando se trata do modo de Deus se revelar. Temos muito a tendência em querer “criar” um deus que seja à nossa imagem e semelhança, por causa da dificuldade em conformarmos a nossa vida ao modo de ser e de agir do verdadeiro Deus. O trecho do livro dos Reis nos faz encontrar a direção correta ao apresentar a belíssima experiência do maior profeta do Antigo Testamento. Embora a perspectiva de Elias fosse que Deus se revelasse no vento, na tempestade ou no terremoto, ou seja, em fenômenos extraordinários e grandiosos, Deus contraria tudo isso e se revela na brisa suave, como “na intimidade de uma relação”.
      Elias está fugindo de uma situação violenta que ele mesmo havia causado ao propor o desafio sobre o verdadeiro Deus a ser seguido e manda matar os profetas de Baal. A rainha Jesabel o persegue, querendo mata-lo. Estando no Monte Horeb, frustrado e desiludido, Deus vem ao seu encontro de uma forma simples, discreta, bem diferente do que ele havia feito os outros pensarem. Esta situação nos desafia a cultivarmos momentos de serenidade, de silêncio e de escuta para deixar que Deus se faça perceber do seu jeito e não como bem entendermos.
    Bem diferente é a situação apresentada no evangelho, em que é em meio a tempestades e ventos que Deus se manifesta, porque quer estar presente junto às vítimas desses fenômenos. Percebamos, num primeiro momento, que Jesus convida a passar para a outra margem, enquanto ele despede as multidões. Para ser verdadeiro discípulo de Jesus, é preciso mudar de margem, deixar as seguranças, as estruturas, certas mentalidades e lançar-se numa aventura, a aventura da fé. Mudar de margem tem muito a ver com desinstalação, com conversão e aí vai acontecer a ruptura, uma das marcas registradas do seguimento de Jesus. Não se pode seguir Jesus e permanecer do mesmo jeito de antes. Se fosse para deixar tudo do mesmo jeito, não haveria necessidade de Jesus nem de sua mensagem. Encontrar-se com Cristo é experiência que provoca decisão.
  Jesus dá um grande testemunho a respeito da vida de oração. Revela que o relacionamento com Deus deve ser íntimo, profundo e constante. Esta atitude a encontraremos durante todo o evangelho: ora estava com o Povo, ora com o Pai. Jesus consegue realizar a mais perfeita síntese entre ser todo para o povo e ser todo de Deus.
   Seus discípulos enfrentam a noite, ameaçados pelas ondas e pelos ventos contrários. Eles estão preocupados, com medo e angustiados. A noite sempre está ligada a este tipo de sensação. A confusão é tamanha que até os impede de reconhecer aquele que vem ao encontro deles, pois não abandona a quem o segue. A dificuldade de reconhecer Jesus pode também estar ligada à resistência em romper com certas mentalidades nas quais ainda estão apegados. Jesus sempre vem ao nosso encontro porque é um Deus peregrino. Coloca-nos à prova para testar nossa fé e levar-nos a segui-lo com maior convicção.
    Muitas vezes damos mais atenção àquilo que nos causa medo e pavor do que à certeza de que Jesus está sempre conosco. Não reconhecê-lo quer dizer que não o amamos verdadeiramente, pois “só se ama a quem se conhece”. Onde há amor não há medo, pois o amor joga fora todo medo, toda insegurança. O amor nos abre à fé. Quando nos falta uma verdadeira intimidade com Deus, facilmente nos assustamos com o seu modo de intervir na nossa vida. Ele será sempre um estranho e jamais perceberemos a sua verdadeira intensão a nosso respeito. Será ele um fantasma? Mas Jesus logo gritou: sou eu, não tenhais medo!

    O medo faz afundar. A confiança na ajuda divina sustenta e faz caminhar. No exercício da missão não posso contar apenas com minhas forças e boa vontade. Precisamos nos convencer de que é a graça de Deus e a plena confiança em sua providência que podem nos sustentar na caminhada. Que a lição da barca nos leve assumir com coragem a missão que nos é confiada, deixando que Jesus faça parte da barca da nossa vida para vencermos todos os medos e adversidades. O nosso testemunho deve levar as pessoas a acreditarem que Deus não abandona a quem nele se confia. 

Fr Ndega

domingo, 6 de agosto de 2017

“KUPANDA MLIMANI” KWA KUGEUKA SURA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU


Tafakari ya Mt 17, 1-9


         Siku sita baada ya kuwasilisha masharti ya kumfuata, Yesu aliwaalika wanafunzi wake kupanda mlimani. Jambo la Mlima ni muhimu sana katika Injili ya Mathayo. Mwinjilisti huyo anaandika kwa Wayahudi na kwa hivyo, nia yake ni daima kumjulisha Yesu kama Musa mpya. Mlima katika Biblia ni mahali pazuri kwa ajili ya uzoefu wa Mungu. Hasa katika injili hii mlima unatajwa sana kwa sababu ni rejeo katika matukio makubwa ya maisha na utume wa Yesu. Tangu mwanzo wa maisha ya umma mpaka kupaa kwake, Mathayo anaongea kuhusu milima 7. Namba 7 inatusaidia kuelewa umuhimu wa mahali huko katika uzoefu wa ufunuo wa Yesu kama Mwana mpendwa wa Mungu.

      Tunataka kwa kifupi kukumbuka kidogo matukio ya milima hii 7 kwa kusisitiza yale ambayo tumesema, yaani Mlima wa majaribu - wakati wa majaribu, Yesu aliletwa kwenye mlima juu sana ambapo yeye alithibitisha uaminifu wake kwa mpango wa Baba (Mt 4,8s). Mlima wa Heri nane – Yesu alienda mlimani wakati alipotangaza kwa mara ya kwanza Ufalme wa Mungu (Mt 5). Mlima ya maombi - baada ya kuzidisha mikate na samaki kwa mara ya kwanza, yeye alipanda mlimani peke yake ili kusali (14:23). Mlima vya kuzidisha mikate – hali hii inatukumbusha tukio la Heri, yaani, Yesu alipanda mlimani na huko aliketi; umati mkubwa ukakusanyika karibu naye (15,29s). Mlima wa Golgotha (27), Mlima wa kupaa mbinguni (28) na katika sura ya 17 tuko na Mlima wa Kugeuka sura.

         Kisha, Yesu aliamua kuchukua baadhi ya wanafunzi na kwenda pamoja kwenye mlima mrefu. Kulingana na desturi ya Kikristo, mlima huu unaitwa Tabor. Huko mlimani Yesu aligeuka sura mbele yao. Hakika Yeye alikuwa kama kawaida lakini uzoefu huu ulibadilisha mtazamo wao kuhusu mwalimu. Yesu aliwaonyesha kidogo utukufu wake na hali ijayo ya maisha ya wale wanaomfuata kwa uaminifu. Yesu aliwaalika kwa uzoefu wa juu ili waone kwa mtazamo wa juu na kuweza kuona vizuri hali ya kujisalimisha kwake na hali wanayoalikwa kuichukua kama ahadi na Mwalimu wao.

        Uwepo wa Musa na Elia unaeleza kuhusu rejeo la ufunuo katika Agano la Kale. Wote wawili waliongea na Yesu wakionyesha kwamba hakuna kupasuka kati ya mafundisho yao na yale ya Yesu, bali uhusiano na mwendelezo. Lakini kulingana na sauti iliyosikika kutoka kwenye wingu ndiye yeye kwa uwezo wa kufundisha na kutafsiri kamili yale yaliyosemwa na mababu wa zamani. Baba alishuhudia kuhusu Mwana wake, akimweka kama rejeo la maisha yetu, yaani, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni”. Wote wanaalikwa kumsikiliza. Kusikiliza katika Biblia ni kitenzi chenye nguvu sana. Hii ni tabia kamili ya Myahudi mbele ya Neno la Mungu, akifanya mazoezi kuhusu yale aliyosikia. Basi, kusikiliza kuna uhusiano wa ndani na kushika/kutenda.

       Yesu ni ufunuo wa kipekee wa Mungu. Hakuna mwingine ambaye aweze kumdhihirisha Mungu kama Yesu alivyo. Kweli Mungu aliongea wakati wa zamani kwa mababu zetu. Lakini “siku hizi” mambo yote Mungu anayoendelea kudhihirisha kwa watu anafanya kwa Mwanawe Yesu. Hata wale ambao hawamjui Yesu wanapokea ufunuo wa Mungu kwa njia yake. Katika kila ndugu ambaye wanamsaidia wanaweza kukutana na Kristo ambaye alijitambulisha na walio na mahitaji mengi (cf. Mt 25,31-46). Kipimo ni upendo/huruma. Matendo yao ya huruma yanaongelea Kristo.


   Wanafunzi “wanatamani kubaki mlimani, lakini sauti inatoka mbinguni ikiwaalika kumsikiliza na kumtii Yesu.” Mara nyingi Mungu anatualika kufanya uzoefu wa uwepo wake kama ilivyotokea kwa wale kwenye mlima, mfano, wakati tunaposhiriki katika sherehe fulani ama siku za maombi na kadhalika. Uzoefu kama huu unaiimarisha imani yetu na hamu yetu kwa ajili ya kazi ya Mungu. Kwa kawaida tunataka uzoefu huu uwe wa muda mrefu. Lakini safari yetu yapaswa kutendeka kati ya “kupanda mlimani” (mfano wa uzoefu wa Mungu wa kibinafsi) na “kushuka milimani” (mfano wa changamoto za undugu na kazi). Kila siku tunaalikwa kufanya uzoefu wa “kugeuka sura” kwa kusikiliza Neno la Yesu na kufanya mazoezi kuhusu Neno hili. Uzoefu huu unatusaidia kutambua nyuso za baadhi ya ndugu wengi kandokando yetu na kuona hisia na tabia za Kristo kwa ajili yao. “Kusikiliza neno lake kunatupatia nguvu ya kumfuata mpaka mwisho.” Hii ni njia kamili ili tuwe pia “wana wapendwa” wa Mungu.

Fr Ndega
Mapitio ya kiswahili: Christine Githui

“SALIRE SUL MONTE” PER TRASFIGURARSI NELLA VITA


Riflessione su Mt 17, 1-9


         Sei giorni dopo aver presentato le condizione per seguirlo, Gesù prende tre dei suoi discepoli e sale su un alto monte. Il monte è molto significativo nel vangelo di Matteo. Questo evangelista scrive ai giudei e pertanto la sua intenzione è sempre presentare Gesù come il nuovo Mosè. Il monte nella Bibbia è un luogo privilegiato per l’esperienza di Dio e specialmente in questo vangelo il monte è molto menzionato perché è stato il punto di riferimento nei grandi avvenimenti della vita e missione di Gesù. Dall’inizio della vita pubblica fino all’ascensione, Matteo presenta 7 monti. Il numero 7 ci aiuta a capire l’importanza di questo luogo nell’esperienza rivelatrice di Gesù come Figlio amato.

         Vogliamo ricordare brevemente gli avvenimenti di questi monti per rafforzare ciò che abbiamo detto: Il Monte delle tentazione - durante le tentazioni, Gesù è portato su un monte altissimo dove ha confermato la sua fedeltà al progetto del Padre (Mt 4,8s). Il Monte delle Beatitudini - quando Gesù fa il discorso inaugurale del Regno di Dio, egli sale sul monte (Mt 5). Il Monte della preghiera - dopo la prima moltiplicazione dei pane egli congeda la folla e sale sul monte, in disparte, a pregare (14,23). Il Monte della moltiplicazione dei pani – la situazione ricorda l’evento delle Beatitudini, cioè, Gesù sale sul monte e lì si ferma e attorno a lui si raduna molta folla (15,29s). Monte del Calvario (27), Monte della Ascensione (28) e nel capitolo 17 troviamo il Monte della trasfigurazione. Vogliamo soffermaci su quest’ultimo.

       Gesù prende con sé alcuni discepoli e sale insieme su un alto monte. Secondo la tradizione cristiana, questo monte si chiama Tabor. Là egli è trasfigurato davanti a loro. Certamente Gesù è rimasto lo stesso, ma questa esperienza ha trasfigurato il loro modo di vedere. Gesù ha mostrato loro un po’ della sua gloria e la realtà futura della vita di coloro che lo seguono fedelmente. Egli invita loro a fare l’esperienza “dell’Alto” perché possano vedere meglio e capire il senso della consegna del loro Maestro e il senso della loro partecipazione alla sua missione.

        La presenza di Mosè e di Elia fa riferimento alla rivelazione nell’Antico Testamento. Questi due parlavano con Gesù mostrando che non c’è rottura tra i loro insegnamenti e gli insegnamenti di Gesù, ma armonia e continuità. Ma secondo la voce uscita dalla nube, è lui che ha l’autorità di insegnare e interpretare ciò che fu detto dagli “Antenati”. Il Padre ha testimoniato suo Figlio con affetto, e lo presenta come punto di riferimento della nostra vita. Tutti siamo invitati ad ascoltarlo. Ascoltare nella Bibbia è un verbo molto importante; esprime il giusto atteggiamento dell’Ebreo pio di fronte alla Parola di Dio, assumendo l’impegno di praticare ciò che aveva sentito. Così ascoltare la parola è intimamente correlato alla sua pratica.

      Gesù è la rivelazione massima di Dio. Nessun altro può rivelare Dio come egli fa. Veramente Dio ha parlato ai nostri padri. Ma “in questi giorni” tutto ciò che Dio continua a manifestare alla gente lo fa attraverso il suo Figlio Gesù. Anche coloro che non conoscono Gesù ricevono la rivelazione di Dio per mezzo di lui. In ogni fratello che loro sono capaci di aiutare possono trovare il proprio Cristo, che si identifica con coloro che sono più bisognosi (cfr Mt 25,31-46). La misura è l’amore/compassione. I loro gesti di compassione parlano di Cristo.

        I discepoli “avevano il desiderio di rimanere sulla montagna, ma una voce dal cielo li invitò ad ascoltare e obbedire Gesù”. Dio ci invita spesso a fare esperienza profonda della sua presenza come è successo ai discepoli sul monte, per esempio, quando partecipiamo ad una celebrazione o a una giornata di preghiera e così via. Esperienze come queste rafforzano la nostra fede e il nostro zelo per l’opera di Dio. Naturalmente vogliamo che questa esperienza abbia lunga durata. Ma il nostro cammino di fede è fatto tra “scalare il monte” (simbolo del rapporto personale con Dio) e “scendere il monte” (simbolo della esperienza di fraternità). Ogni giorno siamo invitati a sperimentare una trasfigurazione tramite l’ascolto e pratica della Parola di Gesù. Questa esperienza ci fa recuperare “l’ascolto dell’interiorità che ci porta in alto, sul monte, a fissare lo sguardo su Cristo” e ci aiuta anche a riconoscerlo nei volti sfigurati di molti fratelli e sorelle intorno a noi ed avere verso di loro gli stessi sentimenti e atteggiamenti di Gesù Cristo.  “Ascoltare la sua parola ci dà la forza di seguirlo fino alla fine”.  Qui abbiamo il modo giusto per essere anche noi “figli amati” di Dio.


Fr Ndega
Revisione dell'italiano: Giusi