Ufunuo
katika kitabu cha yohana 20,19-31
Mungu alitupa uwezo wa utu na kuishi
kwa jamii kwa uzuri wetu, na mafanikio. Kulingana na kitabu cha mwanzo, “si
vizuri kwa binadaamu kuwa peke yake [mwanzo 2,18].” Sisi ni wabinafsi, lakini
tuna uhusiano na wenzetu.Tukikua katika ubinafsi, ubinafsi wenyewe unajitokeza
ambapo ni hatari sana kwa maisha ya jamii, kwa sababu mtu mbinafsi anaishi kana
kwamba jamii haipo. Kuvuruga uhusiano baina ya watu katika wanajumuia. Kutokana
na ubinafsi, uovu mwingi hutokea. Kiafrica inaaminika kuwa ujuzi wa jamii
unapaswa kuwa katikati ya maisha ya binadamu na bila jamii maisha inapoteza
maana. Hali hii ni ya kweli tukihusisha
jamii, lakini ikilinganishwa na ecclesia jamii-upana wa familia zetu
kijamii. Ni katika namna hii ndiposa kuangazia kuhusu kwa jamii ujuzi wa imani
kama ushuhuda wa ufufuko wa yesu kristu.
Hapo baadaye kufungwa, kuteswa na
kufa kwa yesu, jamii ya wafwasi wake
walionekana kusahau yote walioyapitia na kiongozi wao kama vile, kukaribisha, umoja, kiinua mgongo,
Kwanza kutafuta ufalme wa Mungu. Kujihusisha na unabii kwa mapendeleo ya
maisha, urahisi wa maisha na kujitoa, kusamehe bila kipimo, kugeuza matakwa yao
kama yale ya mungu.Kabla ya hayo yote, wafwasi wa yesu waliamua “kufunga
milango,” kwa ajili ya woga. Lakini yesu hatawaacha atakaa nao. Haswa wakati
ule woga waondoa raha kwa wanaoishi.
Ukweli ni kuwa mambo mengi yatufanya
tuhisi woga kama vile, vita, ugaidi na vitisho kadha kutokana na kuishi, woga
watuzuia kuishi imani yetu kikweli na twapaswa kuwa washuhuda wa kweli. Kwa
hiyo twatambua umuhimu wa kuishi katika jamii. Kwa muungano wa wenzetu na
vitendo vya mungu kuonekana ndani yetu, twaeza epukana na woga wetu wote na kukubali
furaha na kihakika kitu cha muhimu ni kuzidisha amani na upatanisho baina ya
watu. Lakini kama hatuna mwelekeo mvuri ndani ya jamii tutakuwa na ugumu kuwa
washuhuda kwa maana mtu hushuhudia kile amepitia.
Jamii ya kwanza iliamini kuishi kwa
imani kusaidia na kujitolea kulikuwa kunaleta utofauti. Na kwa hivyo
walijulikana kwa hakika ushuhuda wa imani kwa jamii: “ona jinsi
wanavyopendana,” kwa hivyo ilisemekana, Ni dhahiri kuwa ujuaji wa imani ni
uamuzi wa kibinafsi, lakini inahusika na kanisa la kiiristo ukubwa, “Kwa sababu
imani ya kanisa tangulia, dokezo na kustari imani yetu. Kwa hivyo twajua hatuko
peke yetu na safari yetu ya imani ni matokeo ya urefu na ukomavu njia.
Yatukumbusha wazazi wetu, mafundisho,
padre, mandugu na madada watakatifu na watu wengi waliopitia maisha yetu na.
Fr. Ndega
Translation: Benadert Oda (Kenya)
Nenhum comentário:
Postar um comentário