Yule ambaye anaamua kusaidia
wasiojiweza anafanya jambo la busara na hulingeuza kuwa ishara bora, “kama baba
anavyojali tabiri ya uwekevu kwa wanawe wote.” O jinsi gani nzuri na ya kujaza
kama ujuzi wa kutumia uwezo wako kwa ajili ya wenzetu, kwa ajili ya uzuri
Fulani! Kwa ukweli huu kuna ufunguo wa “ufunuo upya,” Yatuelekeza kwa ujuzi wa
bibilia ambapo Yesu,kwa kujitolea hakika, kutumia ishara ya unyenyekevu na
huruma kuonyesha upendo wa Mungu. Ishara hizi za Yesu zilileta utofauti kwa
maisha ya watu wengi. Kabla ya swali “Huyu Yesu ni nani?” Jibu lilipeanwa bora
tu watu wangeamua kumsikia, kukubali neno lake na kujihusisha na mipango ambazo
alitangaza kupita vitende vya usaidizi. Wale walioishi ukingoni mwa kizito na
waliokua na utofauti. Haikuchukua muda mrefu kujua ya kwamba yesu alikua ufunuo
wa wokovu na mpango wa Mungu duniani kote. Na kwa hayo yote, jinsi
inavyojulikana, “Yesu hakuja kuleta dini bali habari njema kwa wale
wanaohitaji, ukarimu na fedha zake. Kutoka kwa habari njema tunaelewa Mungu ni
nani”, Ni kutokana na ishara ndiposa tunajua jinsi mtu alivyo.
Tunakaribisha kufanya uchunguzi wa
Mungu anayetuandama na kutembea nasi na yuko nasi kila ya masumbuko, Kungojea
jibu lipya la kukubaliwa na umoja. Makubaliano ya uwepo wake na umoja na
wenzetu. Mungu tunayemuamini ni mkarimu na anaokoa; kwa hiyo sababu ya tumaini
letu kwa uaminifu wake. Bibilia inafunza kuwa aliacha ateswe kwa ajili ya
dhambi za watu, haswa kama wameteseka. Mungu anatupenda wote lakini tunaeza
sema anastahabu; Tunathubutu kusema kuwa kuna majina kama; Kipofu,kiwete,
pooza, kiziwi na n.k. Siku zetu, kulikuwa na nyuso mpya: Ni waathiriwa wa njaa
na umaskini, Waliobaki mwisho katika bepari ya mfumo kutokuana ujuzi wa
kompyuta duniani, Waathirika wa kila aina ya vita na madawa za kulevya, Wale
wasio na kwa kuishi, wasio na kazi na kutoesabika na nyuso zilizoharibiwa
duniani. Kwa watu hawa kuna upendo mkuu kutoka kwa mungu: kuhusu haya
mwanateolojia L.C Susin anatumia uhalisi “upendo kwa kipaumbele”: kupenda kwa
kipaumbele ni kitendo ambacho kila mama hufanya kutokana na msemo wa zama wa Arabu: Heri mjonjwa mpaka atakapokuwa
mzima, Heri hule ambaye ako mbali mpaka atakapofika, Heri mdogo mpaka
atakapokua(...)”.
Ujumbe wa Yesu ulihusika kutengeneza
uhusiano baina ya Mungu na wanadamu waliokuwa maskini wakati wa Yesu wangerudi
kujitolea kabisa kwa uzuri wa jamii. Wakati mwingine ilikuwa muhimu jamii
kujitolea mhanga kuwafanya watu waje kwa Yesu na kushuhudia maisha mapya ambayo
yaliletwa na Yesu. Siku hizi Yesu haonekani lakini tunaeza mhisi na kumjua
haswa wale ambao wameamua kuacha watazamaji na wakawa wongozi kwa matendo. Kwa minajili ya maisha.
Changamoto kwetu sio kwa kufaulu kwa vitu ambavyo sio vya kawaida bali kwa
matendo madongo yanayoleta tofauti. Kutokana na mfano wa Yesu tunaitwa kufanya
vitu vyote vyema na kufanya mazuri kwa minajili ya wanaohitaji usaidizi zaidi
na kuishi katikati ya anisi. Uthibitisho huu,unakamilisha unabii wa ufalme wa
Mungu: Dunia bila utengano, kutamani kwa Mungu na matakwa kwa wote.
Fr. Ndega
Translation: Benadert
Oda